Pages

Sunday, September 21, 2014

MANCHESTER UNITED YAONGOZA DHIDI YA LEICRSTER CITY KWA BAO 2-1 LIGI KUU YA UINGEREZA -LIVE !!!

Angel di MarĂ­a runs at the Leicester defence.
Angel Di Maria akiwatoka walinzi wa Leicester dakika ya 16 na kufunga bao la pili kwa Man U ambapo Robin van Persie alitangulia kufunga bao la kwanza dakika ya 13 na kwenda mapumziko wakiwa mbele na ushindi wa bao 2-1.Leonardo Ulloa makes it 2-1.Mshambuliaji wa Leicester, Leonardo Ulloa akishangilia bao alilofungwa dakika ya 17na kwenda mapumziko Man U ikiongoza kwa bao 2-1.

No comments:

Post a Comment