Pages

Friday, September 26, 2014

MARUFUKU WAZAZI KALENGA KUWARUHUSU WATOTO WAO KWENDA MIJINI KUFANYA KAZI YA UYAYA – MBUNGE MGIMWA

Mzee maarufu wa kijiji cha KIponzelo jimbo la Kalenga Bw Abel
Mgongolwa (kushoto) akimkabidhi mkuki mbunge wa Kalenga Godfrey Mgimwa
mara baada ya kuvishwa mavazi ya kichifu kama sehemu ya kutambua
mchango wake katika maendeleo ya jimbo la Kalenga kwa muda mfupi
aliopata kuwa mbunge wa jimbo hilo
Continue reading →

No comments:

Post a Comment