Pages

Wednesday, September 24, 2014

TRIPLE A FM YAZINDUA NEMBO YA RADIO HIYO ARUSHA.

IMG-20140923-WA0000Naibu waziri wa habari Vijana,utamaduni na michezo Juma Nkamia akiwa na Bodi ya wakurugenzi wa kampuni ya The blue Triple A Ltd kushoto na kulia  mwa naibu waziri Nkamia ni wakurugenzi wa kampuni hiyo mr,na mrs Papaa King Mollel wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya naibu waziri kuizundua nembo ya kituo cha Radio cha Triple A fm cha jijini hapa wakti wa sherehe hizo za uzinduzi wa nembo hiyo  jijini hapa mwishoni mwa wiki picha na mahmoud ahmad wa globu ya jamii Arusha.

No comments:

Post a Comment