Wakati ligi kuu ya Tanzania Bara imeanza katika Msimu huu wa mwaka 2014, Timu kubwa Kubwa kama yanga na simba, zilizokuwa zinatesa miaka ya nyuma zimeanza kuonekana si kitu wakati Yanga ilipoanza Vibaya kwa Kuchapwa kipigo cha Mabao 2-0 kutoka kwa Timu ya Mtibwa ya Turiani Morogoro., Pichani ni Wachezaji wa Timu ya Yanga ambayo ilikuwa kwenye wakati mgumu wakati wa kusaka Pointi tatu. |
No comments:
Post a Comment