Pages

Wednesday, October 29, 2014

AJALI MBAYA DALDALA IMETOKEA MAENEO YA TENGERU JIRANI NA DARAJA

 Kwa taarifa ya kusikitisha tuliyo ipata muda mapema leo kuhusiana na ajali ambayo ilithibitishwa  kwamba ajali hiyo imetokea katika eneo la Mbele ya Tengeru jirani na Daraja walipo kata migomba ambapo imehusisha gari la daladala ambayo inasemekana kulikuwa na abiria ndani na wengi wamepoteza maisha.

Pichani ni baadhi ya watu wakiwa wanashuhudia ajali hiyo muda

No comments:

Post a Comment