Pages

Wednesday, October 29, 2014

BALOZI WA CUBA AZUNGUMZIA USHIRIKIANO KATI YA TANZANIA NA NCHI YAKE

2Balozi wa Cuba nchini Tanzania Mheshimiwa Dk. Fred Fagudo akiongea na waandishi wa Habari  jana Jijini Dar es salaam  kuhusu fursa mbalimbali zinazotolewa na nchi hiyo kwa Tanzania katika sekta ya Elimu na Afya.  Kushoto ni Mkalimani wa Balozi huyo Bw. Josia Shindika. (Picha na Frank Mvungi-MAELEZO)
1Balozi wa Cuba nchini Tanzania Mheshimiwa Dk. Fred Fagudo akiongea na waandishi wa Habari jana Jijini Dar es salaam kuhusu ushirikiano mzuri uliopo kati ya Tanzania na nchi yake, Kushoto ni Mkalimani wa Balozi huyo Bw. Josia Shindika.

No comments:

Post a Comment