Pages

Wednesday, October 29, 2014

JE WADAU WANASEMAJE KUHUSU RAIS WA 2015?

  • Tusifanye majaribio Urais 2015.
    Tukipata Rais asiye Msemaji.
    Rais asiye na Msimamo.
    Rais anayeyumba kama Mwanzi.
    Rais anayetaka kufurahisha kila MWANANCHI.
    Rais ambaye motto wake anaweza kuwa na Sauti kuliko Waziri Mkuu.
    Rais ambaye ujumbe mfupi Wa simu(SMS) unamtosha kuvunja baraza LA Mawaziri.
    Tutajuta.
    .
    • Saimon Frank's photo.

    • Wambura Boniphace PH dr yuko safii!
    • Emmanuel William CCM siwataki hata kdgo wakimpendekeza prof Mark 2015 ntawaunga mkono CCM kwa 100% na ndo mtu anayetakiwa kuliongoza taifa kwa hatua lilipofkia sasa uwe na uelewa mkubwa vinginevyo tukikosea kwa kufuata mkumbo na ushabaki tutajuta. Tafakar chukua hatua.
    • Prochez Deg Huyo hapo Mzee Slaa.. Uwakilishi mkubwa Ukawa, pamoja na Kijana Mimi... Je ww?
  • Tusifanye majaribio Urais 2015.
    Tukipata Rais asiye Msemaji.
    Rais asiye na Msimamo.
    Rais anayeyumba kama Mwanzi.
    Rais anayetaka kufurahisha kila MWANANCHI.
    Rais ambaye motto wake anaweza kuwa na Sauti kuliko Waziri Mkuu.
    Rais ambaye ujumbe mfupi Wa simu(SMS) unamtosha kuvunja baraza LA Mawaziri.
    Tutajuta.

No comments:

Post a Comment