Pages

Wednesday, October 29, 2014

Kamanda Kova Azungumzia wimbi la ujambazi na jinsi ambavyo jeshi la Polisi linavyopambana kuhakikisha linatokomeza uhalifu katika jamii.

Kamanda Suleiman Koa alitembelea ITV kuzungumzia wimbi la ujambazi na jinsi ambavyo jeshi la Polisi linavyopambana kuhakikisha linatokomeza uhalifu katika jamii.
Aidha kamanda Kova amesema kuanzia sasa, endapo kampuni itamtuma mfanyakazi wake kusafirisha fedha nyingi bila kusindikizwa na Polisi, boss aliyemtuma naye pia atalazimika kujibu tuhuma kwa uzembe wa kutochukua tahadhari na hivyo kuhatarisha maisha ya yule aliyetumwa, hili wewe unalionaje?

No comments:

Post a Comment