Pages

Friday, October 31, 2014

MIRADI YA UZALISHAJI CHACHU YA VIJANA KUACHANA NA MATUMIZI YA MADAWA YA KULEVYA INATOKANA NA UJASIRIAMALI

 Kaimu Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NBC,Rukia Mtingwa wa kwanza kushoto akimkabidhi  hundi yenye thamani ya shilling milioni 116,952,000 Mkurugenzi wa Kituo cha MAA MEDI bwana Furaha Levilal wa kwanza kulia katika uzinduzi wa program maalum ya Vijana.

 Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya  Maendeleo ya Vijana Bwana James kajugusi  akiteta jambo na Kaimu Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NBC,RuAkia Mtingwa alipokuwa akizindua Programu Maalumu kwa Vijana itakayotolewa Kituo cha MAA MEDI.

 Meneja wa Miradi kutoka kituo cha MAA MEDI bwana Albany James akiongea na waandishi wa habari katika uzinduzi wa programu maalum kwa Vijana iliyozinduliwa jana jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya washiriki walioudhuria uzinduzi huo wakimsikiliza Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Vijana wakati wa uzinduzi wa Program maalum kwa Vijana iliyoandaliwa na kituo cha MAA MEDI.

No comments:

Post a Comment