Pages

Tuesday, October 28, 2014

NAFASI ZA KAZI- JE UNATAFUTA KAZI?

Wanahitajika wasichana wa kuuza duka kubwa liliopo posta jijini dar es salaam, wenye uwezo wa kufanya Marketing, na Online Sales
wawe na uwezo wa kuzungumza kiingereza na kiswahili fasaha. elimu kuanzia diploma.
wasiliana nasi kwa namba zifuatazo 0756608383 na 0713608383

No comments:

Post a Comment