Pages

Thursday, October 23, 2014

Rais azungumza na Balozi wa Marekani

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Balozi wa Marekani nchini Tanzania  Mark Bradley baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,[Picha na  Ramadhan Othman Ikulu.] IMG_9469Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Balozi wa Marekani nchini Tanzania  Mark Bradley baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi,[Picha na  Ramadhan Othman Ikulu.]

No comments:

Post a Comment