Pages

Saturday, November 1, 2014

MABONDIA WAZIPIGA MAZOEZINI

Bondia Shabani Kaoneka kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Obago Kamata wakati wa mazoezi .
Bondia Shabani Kaoneka kulia 
akimtupia konde  Obago Kamata wakati wa mazoezi .
Bondia Shabani Kaoneka kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Obago Kamata wakati wa mazoezi.
Bondia Jumaa Rashid akioneshana ubavu na Juma Biglee wakati wa mazoezi yaliyofanyika katika uwanja wa Shule ya Uhuru uwanja wa basket  Dar es salaam jana.
Bondia Omari Bai kushoto akipambana ya Kelvin Majiba wakati wa mazoezi yaliyofanyika katika uwanja wa basket Shule ya Uhuru  Dar es salaam jana.
Bondia Shabani Kaoneka akipambana na Omari Bai wakati wa mazoezi .
Bodia Obaga Kamata kushoto akipambana na Idrisa Mweta wakati wa mazoezi .

No comments:

Post a Comment