Pages

Thursday, November 6, 2014

MATUKIO YA KAZI ZA WAZIRI MKUU BUNGENI MJINI DODOMA

unnamed
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu maswali Bungeni mjini Dodoma Novemba 6, 2014. (Picha na Ofisi ya  Waziri Mkuu) unnamed2Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea cheti cha  ubora uliothibitishwa na Shirika la Viwango Tanzania (TBS), kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo, Joseph Masikitiko kutokana  na ubora wa asali anayozalisha  na kuuza yenye  nenmbo ya P&P. Makabidhiano hayo yalifanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu mjini Dar es salaam Novemba 6, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment