Pages

Tuesday, November 4, 2014

TBC KUONESHA LIVE JK AKIONGEA NA WAZEE WA DODOMA WAKATI WOWOTE KUANZIA SASA

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Profesa Jakaya Mrisho Kikwete mchana huu ataanza kuzungumza na Wazee wa Dodoma  katika ukumbi wa Kilimani mjini Dodoma wakati wowote kuanzaia sasa. Usikose kuangalia mazungumzohayo  yatayooneshwa moja kwa moja na TBC One pamoja na mtandao wa
IMETOLEWA NA
KITENGO CHA 
MAWASILIANO YA
RAIS IKULU,
NOVEMBA 4, 2014

No comments:

Post a Comment