Pages

Friday, December 5, 2014

DK.SHEIN AZUNGUMZA NA BALOZI WA UMOJA WA AFRIKA NCHINI MAREKANI

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Umoja wa Afrika Nchini Marekani Mhe,Amina Salum Ali  alipofika  Ikulu  Mjini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu.] unnamed1 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza  na Balozi wa Umoja wa Afrika Nchini Marekani Mhe,Amina Salum Ali  alipofika  Ikulu  Mjini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu.] 
unnamed3
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na      Balozi wa Umoja wa Afrika Nchini Marekani Mhe,Amina Salum Ali baada ya mazungumzo yao leo alipofika  Ikulu  Mjini Zanzibar .[Picha na Ikulu.] 

No comments:

Post a Comment