MPALULEBLOG:

Pages

▼

Thursday, December 11, 2014

HABARI TOKA OFISI YA MAKAMU WA RAIS.

unnamedNaibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Ummy Mwalimu amefanya ziara ya ukaguzi wa mazingira katika kiwanda cha OK Plastic kilichopo jijini Dar Es Salaam. Ziara hiyo ni muendelezo wa ziara za kuangalia hali ya mazingira kwenye viwanda mbalimbali hapa Nchini. unnamed1Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Ummy Mwalimu akipata maelezo ya uendeshaji wa kiwanda cha OK Plastic kutoka kwa Menejimenti ya kiwanda hiko.Wengine wanaofuatia ni Mkurugenzi Msaidizi-Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais bi Magdalena Mtenga, Bwana Anacleto Pereira Mkuu wa Idara ya sheria wa OK plastic, Fadl Ghaddar Mkurugenzi Mtendaji wa OK plastic na Martin Msamba Meneja wa kiwanda. unnamed2Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Ummy Mwalimu akiangalia jinsi betri chakavu zinavyohifadhiwa kiwandani hapo.
 unnamed4 Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Ummy Mwalimu akimsikiliza Mkurugenzi Msaidizi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Bi Magdalena Mtenga wakati wa ziara hiyo.
Unknown at 10:15 AM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version

About Me

Unknown
View my complete profile
Powered by Blogger.