MPALULEBLOG:

Pages

▼

Thursday, December 11, 2014

Huawei yazindua simu mpya aina ya Ascend 6-inch Mate 7 jijini Dar leo.

unnamedMeneja wa Kampuni ya vifaa vya teknolojia ya Huawei Tanzania, Peter Zhang (kulia) na Meneja Bidhaa wa kampuni hiyo, Joseph Lyimo (kushoto) wakionyesha simu mpya aina ya Smartphone 6-inch Ascend Mate 7 katika hafla ya uzinduzi wa simu hiyo jijini Dar es Salaam leo. unnamed1Meneja wa Kampuni ya vifaa vya teknolojia ya Huawei Tanzania, Peter Zhang (kulia) na Meneja Bidhaa wa kampuni hiyo, Joseph Lyimo (katikati) wakionyesha simu mpya aina ya Smartphone 6-inch Ascend Mate 7 katika hafla ya uzinduzi wa simu hiyo jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Meneja Masoko wa kampu hiyo, Lydia Wangari.   unnamed2Meneja Masoko wa Huawei , Lydia Wangari (kushoto) akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa simu mpya aina ya  Huawei 6-inch Ascend Mate 7 jijini Dar es Salaam leo. Kushoto kwake ni Meneja Bidhaa wa kampuni hiyo, Joseph Lyimo  na Meneja wa Huawei Tanzania, Peter Zhang. unnamed4Meneja Bidhaa wa Kampuni ya Huawei, Joseph Lyimo (katikati) akionyesha jinsi simu ya Ascend Mate 7 inavyofanya kazi wakati wa uzinduzi huo. 
Unknown at 10:47 AM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version

About Me

Unknown
View my complete profile
Powered by Blogger.