Pages

Saturday, December 20, 2014

KAJALA AKUNWA NA KUMWAGA MAHELA KWA WAIMBAJI WA SKYLIGHT BAND

DSC_0028Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 akitoa burudani kwa mashabiki wa bendi hiyo Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village huku akipewa sapoti na Digna Mbepera.
DSC_0030Digna Mbepera na Bela Kombo wakimpa back up Aneth Kushaba AK47 kwenye show zao za kila Ijumaa ndani ya viunga vya Thai Village Masaki jijini Dar.
DSC_0071Majembe ya Skylight Band yakionyesha manjonjo yao jukwaani Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki.
DSC_0279Msanii wa bongo movie Kajala akitembeza manoti ya wekundu wa msimbazi kwa waimbaji wa Skylight Band Ijumaa iliyopita alipokunwa na uimbaji wao.
DSC_0164Mashabiki wakiendelea kula raha..!
DSC_0345
DSC_0170Birthday girl na mabeste zake wakicheza mdogo mdogo.
DSC_0189
DSC_0239
DSC_0358Nyomi la mashabiki wa Skylight Band likiwa limeshona Ijumaa iliyopita ndani ya Thai Village.

No comments:

Post a Comment