Pages

Wednesday, December 17, 2014

MAZISHI YA MWANAMUZIKI MKONGWE,MAREHEMU SHEM IBRAHIM KALENGA KATIKA MAKABURI YA KISUTU JIJINI DAR JANA

 Jeneza lenye Mwili wa aliewahi kuwa mwanamuziki mkongwe hapa nchini,Marehemu Shem Ibrahim Kalenga ukiwasili kwenye Makaburi ya Kisutu,Jijini Dar es Salaam tayari kwa mazishi.Marehemu Kalenga alifariki Dunia jana katika hospitali ya Amana,Ilala alikokuwa akipatiwa Matibabu.
Umati Mkubwa uliojitokeza kwenye mazishi ya Marehemu Shem Ibrahim Kalenga wakijumuika pamoja kubeba Jeneza wakati wa Mazishi yaliyofanyika jioni ya leo kwenye Makaburi ya Kisutu,Jijini Dar es Salaam.
Ankal Michuzi wa pili kutoka kushoto akiwa na baadhi ya wanamuziki wakongwe na vijana mara baada ya mazishi hayo yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam jana.

No comments:

Post a Comment