Pages

Thursday, December 18, 2014

MAMA SALMA KIKWETE AZINDUA RASMI UMOJA WA VIKUNDI VYA WAMA KATIKA WILAYA YA KINONDONI

PICHA NA JOHN  LUKUWI 
unnamed9Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA Mama Salma Kikwete akitoa hotuba yake mara baada ya kuzindua rasmi Umoja wa vikundi vya WAMA katika Wilaya ya Kinondoni katika sherehe zilizofanyika katika Chuo Cha Usafirishaji kilichoko eneo la Mabibo tarehe 18.12.2014. unnamed1Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA, Mama Salma Kikwete akiangalia baadhi ya kazi zinazofanywa na wanavikundi wa UWAMAKI mara baada ya kuwasili kwenye sherehe ya uzinduzi wa vikundi hivyo tarehe 18.12.2014. unnamed2Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA, Mama Salma Kikwete akiangalia baadhi ya kazi zinazofanywa na wanavikundi wa UWAMAKI mara baada ya kuwasili kwenye sherehe ya uzinduzi wa vikundi hivyo tarehe 18.12.2014. unnamed3Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA, Mama Salma Kikwete akizindua rasmi umoja wa vikundi vya wama katika Wilaya ya Kinondoni katika sherehe ya kufana iliyofanyia kwenye Chuo cha Usafirishaji tarehe 18.12.2014.

No comments:

Post a Comment