MHE. DKT. TITUS MLENGEYA KAMANI AFUNGUA SEMINA INAYOZUNGUMZIA MASUALA YA AFRIKA YA JAMII YA ASILI.
Waziri
wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi , Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Kamani (Mb)
akitoa hotuba yake wakati akifungua semina ya siku mbili la Africa
Kongamanoambalo linafanyika katika Hoteli ya Kunduchi jijini Dar es
Salaam linalozungumzia maswala ya jamii ya Asili pamoja na kuangalia
haki zao na namna ya kuboresha maisha yao na mifumo ya chakula pia
kujiandaa kwa kongamano la dunia nzima kuhusiana na jamii za watu wa asili ambalo litafanyika Roma Italia Februari 2015.
Waziri
wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi , Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Kamani (Mb)
akiwa kwenye picha ya pamoja na wadau wa kongamano hilo.
No comments:
Post a Comment