MPALULEBLOG:

Pages

▼

Tuesday, December 2, 2014

MKUTANO WA 20 WA DUNIA WA MABADILIKO YA TABIA NCHI-PICHA UFUNGUZI

unnamed
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar Dkt Omar Dadi Shajak, Kushoto Mkurugenzi wa Mazingira Offisi ya Makamu wa Rais Dkt Julius Ningu, Nyuma KUlia MKurugenzi Msaidizi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais ambae pia ni Mtaalamu wa Mabadiliko ya Taibia Nchi..wakifuatilia hotuba ya  Ufunguzi wa mkutano wa 20 wa Dunia wa Mabadiliko ya Tabia Nchi MJini LIma Nchini Peru. picha na Evelyn Mkokoi wa Ofisi ya Makamu wa Rais
unnamedUjumbe wa Tanzania ukifuatilia  sehemu nyingine ya ufunguzi wa chombo cha utekelezaji SBI katika mkutano wa 20 wa Dunia wa Mabadiliko ya Tabia nchi ulioanza rasmi leo Mjini Lima, Peru…(Picha na Evelyn Mkokoi wa Ofisi ya Makamu wa Rais)
Unknown at 9:29 AM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version

About Me

Unknown
View my complete profile
Powered by Blogger.