Pages

Friday, December 12, 2014

Mkuu mpya wa Mkoa wa Tanga akabidhiwa rasmi

unnamed5Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Magalula Saidi Magalula( kushoto) akipokea taarifa ya makabidhiano ya Mkoa wa Tanga kutoka kwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Dk. Rajabu Rutengwe aliyeshika wadhifa huo kwa muda usiozidi mwezi mmoja. Katikakati ni aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Chiku Gallawa kabla ya kuteuliwa Mhe. Dk. Rutengwe. Anayeangalia (kulia) ni Katibu Tawala Mkoa Bw. Salum Mohamed Chima ( Alhaji)
unnamed8Baadhi ya Watumishi kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mashirika ya umma na Binafsi na Taasisi za Serikali na Viongozi wa dini na Viongozi wa Vyama vya Siasa
unnamed9Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Chiku Gallawa akimkabidhi taarifa ya makabidhiano kwa Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Dk. Rajabu Rutegwe.
unnamed10 Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Magalula Saidi Magalula (kushoto) na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Dk. Rajabu Rutengwe wakisaini taarifa ya Makabidhiano  unnamed2unnamed1Mhe. Magalula akisalimia wakati wa mapokezi unnamed3Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Magalula Saidi Magalula akisini kitabu cha wageni mapema leo mara baada ya kuwasili katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

No comments:

Post a Comment