Pages

Tuesday, December 2, 2014

MSANII DIAMOND PLATNUMZ APATA MAPOKEZI MAKUBWA WAKATI AKITOKEA AFRIKA YA KUSINI BAADA YA KUSHINDA TUZO TATU ZA CHANEL O.

 

Diamond baada ya kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar Es Salaam na tuzo tatu. 

MWANAMUZIKI Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' ametua nchini leo akitokea katika nchi ya Afrika Kusini alipokwenda kushiriki katika zoezi la utoaji tuzo za Channel O ambapo alibahatika kupata tuzo tatu kwa mpigo. 
 
Tuzo hizo alizoshinda ni pamoja na Most Gifted New Comer, Most Gifted Afropop na Most Gifted East kupitia wimbo wake wa Number One.

No comments:

Post a Comment