Pages

Friday, December 12, 2014

PINDA AKUTANA NA RAIS WA CHAMA CHA WANASHERIA WA SADC

unnamed2Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria wa SADC,Gilberto Caldeira Correia  (wapili kulia) na Mkurugenzi wa Chama  hicho, Emilia Siwingwa (kulia) Ofisini kwake jijini Dar es salaam  Desemba 12, 2014. Kushoto ni Kushoto ni Officer Mtendaji Mkuu wa Chama cha Wanasheria wa Tanzania (Tanganyika Law Society, Kaleb Gamaya na wapili kushoto ni Rais wa Tanganyika Law Society, Charles Rwechungula.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment