Pages

Tuesday, December 2, 2014

RAIS KIKWETE AMUAPISHA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI LEO IKULU

Rais Jakaya Mrisho kikwete akiwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa
Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad baada ya kumuapisha  Ikulu
jijini Dar es salaam leo ni Disemba 2, 2014
unnamed6Rais Jakaya Mrisho kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib
Bilali, Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda, Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande
Othman, Spika Anne makinda na Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya na
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad
Ikulu jijini Dar es salaam leo ni Disemba 22, 2014
unnamed7 Rais Jakaya Mrisho kikwete akiwa na familia ya  Mdhibiti na
Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad Ikulu jijini
Dar es salaam leo ni Disemba 2, 2014
unnamed8Rais Jakaya Mrisho kikwete akiwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa
Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad na CAG Mstaafu Bw. Ludovick
Utouh Ikulu jijini Dar es salaam leo ni Disemba 2, 2014
unnamed10Rais Jakaya Mrisho kikwete katika picha ya pamoja na Mdhibiti
na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad na wafanyakazi wa ofisi ya CAG  Ikulu jijini Dar es salaam leo ni Disemba 2, 2014
PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment