Pages

Thursday, December 4, 2014

TAJIRI AZIKWA NA GARI LAKE AINA YA HUMMER NCHINI NIGERIA

Ama kweli Duniani kuna mambo, Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Filauni, Huko nchini Nigeria Tajiri mmoja maarufu amezikwa akiwa ndani ya gari lake la kifahari aina ya Hummer, kama inavyoonekana pichani gari hilo likishushwa  kaburini kama inavyokuwa kawaida kushusha Jeneza kaburini muda unapowadia
Wananchi  wakishuhudia mazishi hayo nchini Nigeria  yakifanyika
.Mazishi ya  tajiri  mmoja  huku nchi Nigeria yakifanyika kwa  mwili wa tajiri huyo kuzikwa pamoja na gari lake aina ya Hummer,kula raha  kifo  chaja ama kweli  pesa makaratasi

No comments:

Post a Comment