Twitikege Mlagha Mafumu enzi za uhai wake
Familia ya  Mwaibale inatangaza kifo cha mama yao mpendwa, Twitikege
 Mlagha Mafumu kilichotekea leo saa 5 usiku wakati akipelekwa  Hospitali
 ya Hindu Mandal jijini Dar es Salaam kwa ajili ya matibabu.
Mipango ya mazishi inafanywa nyumbani kwa mtoto wake Mwalimu Mary Anyitike, eneo la Bucha Mbagala Kuu jijini Dar es Salaam.
Kwa
 mawasiliano zaidi  wasiliana na ndugu Kulwa Mwaibale kwa simu namba 
0712-707630, O758-971351 na Dotto Mwaibale kwa namba ya simu 
0712-727062, O786-858550, 0754-362990.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
 
No comments:
Post a Comment