MPALULEBLOG:

Pages

▼

Monday, December 8, 2014

Tigo Welcome Pack Yamalizika Kwa Kishindo Mjini Mtwara

_81A0207 Mkuu wa wilaya ya Mtwara, Wilman Ndile mwenye kofia akikagua basi la
kampuni ya Tigo linalotumika kutoa huduma zake kwa wananchi walio vijijini kwenye kampeni ya welcome pack, kushoto kwake ni Meneja wa Tigo kanda yakusini, Daniel Mainoya.wengine ni baadhi ya wateja wa kampuni hiyowaliyoenda kufahamu zaidi huduma zitolewazo na kampuni hiyo kwenye tamashalililofanyika uwanja wa Nangwanda Mkoani Mtwara.
_81A0234Wasanii wa kundi la Origino Komedi wakionesha shoo wakati wa tamasha la Tigo welcome Pack lililofanyika uwanja wa Nangwanda Mkoani Mtwara mwishonimwa wiki. _81A0304Masanja Mkandamizaji akifanya vitu vyake jukwaani. _81A0526Msanii Ibrahim Musa a.k.a Roma Mkatoliki akitoa burudani kwenye tamashla Tigo welcome pack lililofanyika uwanja wa Nangwanda Mkoani Mtwara mwishoni mwa wiki. _81A1090Msanii Joseph Haule a.k.a Prof J akitoa shoo pamoja na kundi la Origino Komedi wakifanya yao kwenye tamasha la Tigo welcome pack, uwanja waNangwanda Mkoani Mtwara mwishoni mwa wiki.
Unknown at 10:49 AM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version

About Me

Unknown
View my complete profile
Powered by Blogger.