Pages

Tuesday, December 30, 2014

Unadhani kipi kifanyike ili zinyeshapo mvua kama hizi wakazi wa jiji hilo wasikumbwe na matatizo hayo ya mara kwa mara?

Jana  ilinyesha  mvua  kubwa  jijini  Dar Es Salaam, ambapo mitaa  kadhaa  katikati  ya  jiji  hilo imekuwa  taabu  kupitika, kwa  wenda  kwa  miguu  na  pia magari. Mara  kwa  mara  mvua  kubwa  zinaponyesha jiji  la  Dar Es Salaam  hukabiliwa  na  matatizo  hayo. Unadhani kipi kifanyike ili zinyeshapo mvua kama hizi wakazi wa jiji hilo wasikumbwe na matatizo hayo ya mara kwa mara?
Jana ilinyesha mvua kubwa jijini Dar Es Salaam, ambapo mitaa kadhaa katikati ya jiji hilo imekuwa taabu kupitika, 
kwa wenda kwa miguu na pia magari. Mara kwa mara mvua kubwa zinaponyesha jiji la Dar Es Salaam hukabiliwa na matatizo hayo. 


No comments:

Post a Comment