MPALULEBLOG:

Pages

▼

Wednesday, January 14, 2015

BENKI YA EXIM YAIPIGA JEKI HOSPITALI TABORA


Exim Tabora Pix 3Kamanda kikosi namba 823 cha Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Msange , Meja A.A Ahmed (kulia) akipokea msaada kutoka kwa Meneja wa Benki ya Exim tawi la Tabora Bw. Edwin Polle (kushoto) ulioambatana na kitanda maalum kwa kina mama wajawazito jijini Tabora hivi karibuni. Wengine ni wawakilishi wa jeshi hilo na benki. Picha na mpiga picha wetu. unnamed2Kamanda kikosi namba 823 cha Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Msange , Meja A.A Ahmed (kulia) akipokea msaada kutoka kwa Meneja wa Benki ya Exim tawi la Tabora Bw. Edwin Polle (kushoto) ulioambatana na kitanda maalum kwa kina mama wajawazito jijini Tabora hivi karibuni. Wengine ni wawakilishi wa jeshi hilo na benki. Picha na mpiga picha wetu. unnamedKamanda kikosi namba 823 cha Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Msange , Meja A.A Ahmed akizungumza kutoa shukrani kwa Benki ya Exim Tawi la Tabora baada ya benki hiyo kutoa msaada wa kitanda maalum kwa kina mama wajawazito jijini Tabora hivi karibuni. Kulia kwake Meneja wa Benki ya Exim tawi la Tabora Bw. Edwin Polle. Wengine ni wawakilishi wa jeshi hilo na benki. Picha na mpiga picha wetu.
Unknown at 10:54 AM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version

About Me

Unknown
View my complete profile
Powered by Blogger.