Pages

Friday, January 9, 2015

Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Arusha (RCC) yapokea mawasilisho ya miradi ya Miji Midogo ya Safari Satellite City na USA River Satellite City

unnamed1xWawasilishaji, James Kisarika, Yusufalli Murad, Meneja Mradi Wa USA River Satellite City na Ms. Meena Pandit, Mkurugenzi , PHILS International  ambao ni Washiriki wa NHC katika katika uendelezaji wa Mradi huo.
unnamed2x
Mkuu Wa Mkoa mpya wa Arusha akifungua kikao cha RCC kabla ya Mawasilisho.

No comments:

Post a Comment