MPALULEBLOG:

Pages

▼

Wednesday, January 14, 2015

Kampuni ya Tigo Yatoa Zawadi za Siku ya Mapinduzi kwa Wateja Wake Zanzibar

unnamedMwakilishi wa jimbo la Kwamtipura Zanzibar, Mh.Hamza Hassan Juma (kushoto) akipokea zawadi ya Tigo kutoka kwa Meneja wa Mawasiliano wa kampuni hiyo, Bw. John Wanyancha wakati wa maadhimisho ya sherehe za Mapinduzi Zanzibar. unnamed1 Ofisa wa Tigo Zanzibar, Fredy Mugule akikabidhi zawadi kwa Fatuma Suleiman kwenye maadhimisho ya sherehe za Mapinduzi zanzibar zilizofanyika kwenye Duka la Tigo Malindi . unnamed2  Ofisa wa Tigo Zanzibar Fredy Mugule akikabidhi zawadi wa Thuwayba Ali kwenye maadhimisho ya sherehe za Mapinduzi zanzibar zilizofanyika kwenye Duka la Tigo Malindi .. unnamed4Wafanyakazi wa Tigo wakitoa huduma mbalimbali kwa wateja waliotembelea ofisi ya Tigo, Malindi mjini Zanzibar jana.
Unknown at 11:24 AM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version

About Me

Unknown
View my complete profile
Powered by Blogger.