MPALULEBLOG:

Pages

▼

Wednesday, January 14, 2015

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AANZA ZIARA KISIWANI ZANZIBAR

K1Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akivishwa skafu na vijana wa Chipukizi mara baada ya kuwasili kwenye tawi la Kilimani mjni Zanzibar mara baada ya kuanza ziara ya kikazi kisiwani Zanzibar Unguja na Pemba itakayomchukua siku 17 akikagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 na kuhimiza utekelezaji wake, Katibu Mkuu Ndugu Kinana anaongozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikasi na Uenezi. K2Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akipokea heshima kutoka kwa vijana wa chipukizi. K3Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akiwa na viongozi wengine wakiimba wimbo kabla ya kuanza kikao cha ndani na wajumbe wa harmashauri kuu ya wilaya ya mjini Zanzibar. K4Kutoka kulia Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Vuai Ali Vuai na Nape nnauye wakiwa katika mkutano huo na Masauni Yusuph Masauni. K5be wakiwa katika mkutano huoBaadhi ya wajum K6
Unknown at 11:18 AM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version

About Me

Unknown
View my complete profile
Powered by Blogger.