Pages

Wednesday, January 7, 2015

MFANYABIASHARA ALIYEWAINGIZA NCHINI MAKOMANDOO WA NEPALI MBARONI


 Mfanyabiashara  Ally Hamidu Ally (kulia) ambaye hivi karibuni ametiwa mbaroni na Idara ya Uhamiaji kwa tuhuma za  kuwaingiza nchini kinyemela makomandoo wa Nepali akiwa chini ya ulinzi katika Ofisi ya Uhamiaji Mkoa wa Dar es Salaambaada ya kukamatwa eneo la Sinza. Kushoto ni mwanajeshi wa zamani wa Marekani ambaye pia anashikiliwa Uhamiaji
ALLY HAMIDU ALLY ambaye amekiri kufanya kazi hiyo ya kusafirisha binadamu akiwa Ofisi za Uhamiaji Mkoa wa Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment