Pages

Monday, January 26, 2015

MSIMU WA PILI WA DARASA LA KISWAHILI WAANZA RASMI DMV

Wazazi, mwalimu na viongozi wa jumuiya waliohudhuria siku ya kwanza ya darasa la Kiswahili DMV wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kuanza kwa Awamu ya pili ya Darasa la Kiswahili kwa watoto waishio Washington DC  Januari 24, 2015. pia Rais wa Jumuiya Bw Iddi Sandaly alipata fursa ya kuzungumza na Wazazi na watoto hao kuhusu darasa hilo.
 
Wanafunzi wakimsikiliza Mwalimu Asha Nyang’anyi. Kushoto kwake ni Katibu wa Jumuiya ya waTanzania DMV
Baadhi ya wazazi wakiwa kwenye picha ya pamoja
Baadhi ya wazazi wakiwa ndani ya darasa wakati watoto wakiendelea na mafunzo

No comments:

Post a Comment