![]() |
| Moja kati ya ma-dancer wa Super Kamanyola anaitwa Cathy Butamu. |
![]() |
| Crew ya bendi yako Super Kamanyola yenye maskani yake Villa Park Kirumba jijini Mwanza. |
![]() |
| Kutoka kushoto ni Cathy Butamu, Alan Mwepu, Husna Bongo na Erick Ramadhan. |
![]() |
| Kutoka kushoto ni Cathy Butamu, Rais wa bendi Shushu Di Cando, Husna Bongo na Erick Ramadhan. |
![]() |
| Kutoka kushoto ni Erick Ramadhan, Cathy Butamu, Kadjo Litungu, na Husna Bongo. |
![]() |
| Kutoka kushoto ni Erick Ramadhan, Cathy Butamu, Husna Bongo na mpiga drums mpya ambaye atakwenda kutambulishwa Sele Cardance. |
![]() |
| Kutoka kushoto ni Cathy Butamu, Erick Ramadhan, Husna Bongo na mpiga rhythm Bevance. |
![]() |
| Mji wa mawe....Mwanza kando kando ya ziwa Victoria na Wana-Super Kamanyola. |
![]() |
| Style mpya za uchezaji kutambulishwa katika usiku wa Valentine 14/02/2015. |
![]() |
| Ze angle. |
![]() |
| 'VIMBA' ni moja kati ya style ya uchezaji. |
![]() |
| Super Kamanyola. |














No comments:
Post a Comment