Pages

Saturday, January 3, 2015

NGUMI ZILIVYOPIGWA MANZESE KATIKA KIPINDI CHA KRISMAS NA MWAKA MPYA

Bondia Jacobo Maganga kushoto akipambana na Shabani Kaoneka wakati wa mpambano wao uliomalizika kwa sare
Mabondia wa uzito wa juu Iddi Bonge kushoto na Mussa Mbabe wakipambana wakati wa mpambano wao Bonge alioshinda kwa K,O ya raundi ya kwanza na kumsambalatisha Mussa
Mabondia wa uzito wa juu Iddi Bonge kushoto na Mussa Mbabe wakipambana wakati wa mpambano wao Bonge alioshinda kwa K,O ya raundi ya kwanza na kumsambalatisha Mussa
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila ‘Super D’ katikati akiwa na mabondia Shomari nMirundi kushoto na Ibrahimu Class ‘King Class Mawe’ anayejiandaa kugombani amkata wa UBO Africa na bondia Cosmas Cheka Feb 28
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila ‘Super D’ kushoto akiwa na mabondia Shomari Mirundi katikati na Ibrahimu Class ‘King Class Mawe’ anayejiandaa kugombani amkata wa UBO Africa na bondia Cosmas Cheka Feb 28
Bondia Ramadhani Kumbele kushoto akipambana na moro best wakati wa mbambano wao kumbele alishinda kwa pointi mpambani huo wa raundi sita
Bondia Jacobo Maganga kushoto akipambana na Shabani Kaoneka wakati wa mpambano wao uliomalizika kwa sare katika mpambano huo uliovuta isia za watu wengi Picha Zote na SUPER D BOXING NEWS

No comments:

Post a Comment