Pages

Friday, January 16, 2015

RAIS KIKWETE ASALIMIANA NA RAIS MSAAFU WA ZAMBIA KENETH KAUNDA

unnamedRais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Mstaafu wa Zambia Kenneth Kaunda wakati wa kuapishwa kwa Rais mpya wa Msumbiji Felipe Jacinto Nyusi jijini Maputo Msumbiji jana (picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment