Pages

Thursday, January 15, 2015

Rais Kikwete ndani maputo ni katika sherehe za kuapishwa Rais Mpya wa Msumbiji Mhe.Filipe Nyusi

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwasili katika uwanja wa ndege wa Maputo jana usiku  kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais Mpya wa Msumbiji Mhe.Filipe Nyusi  mjini Maputo. Mhe. Nyusi anachukua hatamu za uongozi kutoka kwa Rais Armando Emilio Jacinto  Guebuza anayemaliza muda wake.

No comments:

Post a Comment