Pages

Monday, January 26, 2015

SEMINA YA USAMBAZAJI WA MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAAZI YA MWAKA 2012 KWA WAJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI YA FANYIKA ZANZIBAR.

unnamed3-Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk  akitoa hotuba kuhusu Sensa na Umuhimu wake katika Semina ya Usambazaji wa matokeo ya Sensa ya watu na makaazi ya mwaka 2012 kwa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi huko mbweni nje ya mji wa Zanzibar unnamed5Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi waliohudhuria katika semina  ya Usambazaji wa matokeo ya Sensa ya watu na makaazi ya mwaka 2012 wakiangalia makala fupi ya Sensa ya Watu na makaazi huko mbweni nje ya mji wa Zanzibar.
unnamed6Mtakwimu mkuu wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mohd Hafidh Rajab  akiwasilisha matokeo muhimu yanayotokana na Sensa ya Watu na Makaazi katika Semina ya Usambazaji wa matokeo ya Sensa ya watu na makaazi ya mwaka 2012 kwa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi huko mbweni nje ya mji wa Zanzibar. unnamed7Mwakilishi wa Jimbo la Kitope Makame Mshimba Mbarouk akiuliza masdwali katika Semina ya Usambazaji wa matokeo ya Sensa ya watu na makaazi ya mwaka 2012 kwa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi huko mbweni nje ya mji wa Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI -MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment