Pages
(Move to ...)
Home
▼
Friday, February 6, 2015
BALOZI WA RWANDA AONANA NA DR.K SHEIN ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Balozi wa Rwanda Nchini Tanzania Eugene S.Kayihura alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) akibadilishana mawazo na Balozi wa Rwanda Nchini Tanzania Eugene S.Kayihura (katikati) baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar (kushoto)
Mshauri wa Rais Uhusiano wa Kimataifa, Uchumi na Uwekezaji Balozi wa Mohamed Ramia Abdiwawa.
Picha na Ikulu.]
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment