Pages

Thursday, February 19, 2015

Balozi wa Saudi Arabia Nchini Tanzania akutana na Dr. Shein

AMB1Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Saudi Arabia Nchini  Tanzania Hani Bin Abdulla Mominah leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa kazi Nchini.[Picha na Ikulu.]
AMB2Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Saudi Arabia Nchini  Tanzania Hani Bin Abdulla Mominah leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa kazi Nchini.[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment