Pages

Thursday, February 19, 2015

Balozi wa Saudia Amuaga Rais Kikwete

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu na kufanya mazungumzo na Balozi wa Saudi Arabia anayemaliza muda wake Mhe.Hani Abdullah Mominah wakati baliozi huyo alipokwenda ikulu kuagana na Rais leo(picha na Freddy Maro) rai1Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na Balozi wa Saudi Arabia anayemaliza muda wake Mhe.Hani Abdullah Mominah wakati baliozi huyo alipokwenda ikulu kuagana na Rais leo(picha na Freddy Maro)

rai3
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimuaga Balozi wa Saudi Arabia anayemaliza muda wake Mhe.Hani Abdullah Mominah wakati baliozi huyo alipokwenda ikulu kuagana na Rais leo(picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment