Pages

Thursday, February 19, 2015

mahafali ya tatu Chuo cha Travelport yafana

11
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Zenith Tour Ndg Salim, akizungumza wakati wa mahafali hayo ya Vijana 18 waliohitimu mafunzo ya huduma ya kieletronic ya huduma ya ukataji wa tiketi za ndege yanayotolewa na Travelport kwa kushirikiana na kampuni ya Zenith Tour ya Zanzibar.
33
Wahitimu wakimsikiliza Mkurugenzi wa Zenith Tour akitowa nasaha zake kwa wahitimu hao.wakati wa hafla ya mahafali ya tatu ya chuo hicho.

88
Viongozi wa Travelport na Zenith Tour wakiwa katika picha ya pamoja na wahitimu ya mafunzo ya Galileo Professional Course.hafla hiyo imefanyika katika chuo hicho jengo la zanlink majestic.

No comments:

Post a Comment