Pages

Thursday, February 19, 2015

MWAKILISHI WA JIMBO LA MAGOMENI ZANZIBAR AFARIKI GHAFLA


Salmin Awadh ambaye pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM  na Mnadhimu wa wajumbe wa CCM Baraza la Wawakilishi Zanzibar amefariki wakati akihudhuria vikao vya chama.
Marehemu Awadh alikimbizwa kwa matibabu Hospitali ya Mnazi Mmoja, Mwili wa marehemu umehifadhiwa katika Hospitali ya Mnazi Mmoja kwa uchunguzi zaidi.
Fullahangweblog  inatoa pole kwa Wana Magomeni, Familia ya Marehemu, Ndugu jamaa na Marafiki wote na Wazanzibar wote kufuatia msiba huo.

No comments:

Post a Comment