Pages

Monday, February 2, 2015

RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PILI, ALI HASSAN MWINYI AZINDUA MAADHIMISHO YA WIKI YA SHERIA NCHINI

 -Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi (wa pili kushoto) akiongozana na jaji mkuu wa Tanzania, Mohamed Othaman Chande  (watatu kushoto) pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki (wa kwanza kushoto), Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu, na Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu, Shabani Ally LILA  wakiwa katika matembezi ya kuadhimisha wiki ya sheria nchini matembezi hayo yalianzia katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kuishia katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es salaam February 1, 2015.
 Bendi ya polisi ikiongoza matembezi ya wiki ya sheria nchini.
 Watumishi wa Mahakama nchinipamoja na watumishi wa taasisi zingine wakiwa wakiwa katika matembezi yakuadhimisha wiki ya sheria nchini matembezi hayo yalianzia katika Mahakama yaHakimu Mkazi Kisutu na kuishia katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar essalaam February 1, 2015.

No comments:

Post a Comment