Pages

Saturday, March 7, 2015

MAFUNZO YA SIKU TATU KWA WAFANYAKAZI WA SEKTA YA AFYA ZANZIBAR JUU YA KUKABILIANA NA UGONJWA WA EBOLA YAFUNGWA.

af1 Mkuu wa kitengo cha kufuatilia mwenendo wa maradhi Zanzibar Dkt. Salma Masauni akitoa neno la shukrani mara baada ya kumaliza mafunzo ya siku tatu juu ya kukabiliana na ugonjwa wa Ebola, mafunzo hayo yamezaminiwa na Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa (WHO) huko Hoteli ya Zanzibar Beach Resort.
af2 Mwakilishi kutoka shirika la Afya la Umoja wa Mataifa (WHO)Tanzania Dkt. Grase Saguti akiwataka wafanyakazi wa sekta ya Afya Zanzibar kuyatumia vyema mafunzo waliyoyapata. af3Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo akiyafunga mafunzo ya siku tutu ya kukabiliana na ugonjwa wa Ebola, mafunzo hayo yanafanyika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mjini Unguja. Picha na Makame Mshenga- Maelezo Zanzibar.

No comments:

Post a Comment