Pages
(Move to ...)
Home
▼
Wednesday, March 18, 2015
MAMIA YA WANAFUNZI WAKIANDAMANA KUADHIMISHA SIKU YA PAI DUNIANI KANUNI YA MAHESABU INAYOTUMIKA DUNIANI KOTE
Sehemu ya umati wa wanafunzi walioandamana jana
katika maadhimisho ya siku ya Pai duniani kanuni maarufu ya
hesabu inayotumika duniani kote,lengo la maandamano hayo
yaliyoanzia kwa mkuu wa mkoa na kuishia shule ya msingi
Arusha School ni kuhamasisha wanafunzi kupenda hesabu,kauli
mbiu ni “Nafasi ya Hesabu katika maendeleo ya
taifa.
Picha na Ferdinand Shayo
Sehemu ya umati wa wanafunzi walioandamana jana katika maadhimisho ya siku ya Pai duniani kanuni maarufu ya hesabu inayotumika duniani kote,lengo la maandamano hayo yaliyoanzia kwa mkuu wa mkoa na kuishia shule ya msingi Arusha School ni kuhamasisha wanafunzi kupenda hesabu,kauli mbiu ni “Nafasi ya Hesabu katika maendeleo ya taifa.
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment