Pages

Monday, March 16, 2015

MOTO WATEKETEZA HOSTELI ZA MABIBO

Taarifa zilizo tufikia muda huu kuwa moja ya bweni la hostel ya mabibo inateketea kwa moto, hadi sasa hakuna mtu aliye dhurika na moto huo na jitihada za kuuzima moto huo zinaendelea.
chanzo cha moto huo mpaka sasa haujafahamika.
baadhi ya wanafunzi wakiwa katika pirika za kuokoa baadhi ya vitu vilivyomo ndani ya jengo hilo.
Muonekano wa moto huo 

No comments:

Post a Comment